GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Wewe ni binamu yangu lazima nijitoe, na ya Yanga namba ngapi?Hahahaaa. Binamu sio kwa kujitolea huko aiseeee.
Namba 12 ya Msuva tu inatosha binamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni binamu yangu lazima nijitoe, na ya Yanga namba ngapi?Hahahaaa. Binamu sio kwa kujitolea huko aiseeee.
Namba 12 ya Msuva tu inatosha binamu.
Hahahaaa. Hizo ninazo za kutosha Binamu. Si wajua tena Unazi huu. 😂😂😂😂Wewe ni binamu yangu lazima nijitoe, na ya Yanga namba ngapi?
Hiyo itakuwa ni Zawadi kutoka kwangu binamu usikataeHahahaaa. Hizo ninazo za kutosha Binamu. Si wajua tena Unazi huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀 anza na hiyo moja kwanza Binamu.Hiyo itakuwa ni Zawadi kutoka kwangu binamu usikatae
Sawa binamu lkn ya Yanga ntakuletea namba 6[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anza na hiyo moja kwanza Binamu.
Number twelve ya Msuva. [emoji3][emoji3][emoji3]
Waliuchukua ujumbe wako na kufanikiwa aise.Vijana walikuwa wanajituma sana CAPE ni wazuri sana mbele kwenye kushambuliaHili napingana nalo, kwenye soka hakuna kitu kama hicho, angalia Madrid ya akina Figo, Raul, Ronaldo, Beckham hawakuchukua uefa aisee,
Wao wawe committed na game tuu
[emoji41][emoji41]Wala si kucheza nje sio Tija,Tija ni kua serious na kila kazi unayoifanya.Mbona hawahawa Cape verde walitandikwa goli 1 kwa 0 na Mganda nyumban kwake??Tatizo Tz wana maneno mengi kwenye kila kitu bila kua na mipango.Tz hatuez kufuzu Afcon kwa namna yyt ile kipindi hiki.Na nakuunga mkono,J4 tukipambana sana tunaambulia sare hiyo game Lakini hawaJamaa hatuwezi kuwafunga kwa mpira wetu wa hovyohovyo,Labda tuwafunge KAMBA