Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Hivi niulize kwanza, sisi ni wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki tulikubaliana tukasaini Mikataba ikiwemo ya Soko la pamoja na Uhuru wa wakaazi kusafiri sasa nauliza swali nikienda Kenya kulisha mifugo badae jioni narudi, nitakuwa nimevunja sheria ya nchi au nafurahia mkataba ambao nch yangu ilisaini, sheria ya mifugo haimo kwenye mikataba maana ni wanyama na sisi ni binadamu.
Nikija kukutembelea rafiki yangu Mkenya wengine huwa tunatembea na mifugo kama Mbwa au ngombe nakuja kupiga story na huku mfugo wangu anakula majani nikimaliza narudi kwetu na mifugo yangu je ntakuwa nimekosea?