Tanzania, Kenya agree on one-stop business centres

Semilong

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Posts
1,711
Reaction score
220
watu kibao wanapeleka mizigo kupitia mombasa JK wakati wa kuondoa urafiki umefika na kuhakikisha hiyo bandari inafanya kazi vizuri, karamagi biashara imemshinda na wewe bado unaendelea kumshikilia......
hao hao unaowalinda ndio wanakuita huna maamuzi, wakati wa kuwa tosa na kuwaonyesha wewe unamaamuzi umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…