Uchaguzi 2020 Tanzania: Key U.S. Congress Members Raise Concerns About Elections and Treatment of U.S. Investors in Tanzania

Hakuna Beberu wa kumjaribu JPM waulize Barick wanaufahamu mziki wa JPM.
 
... hivi vinchi uchwara bila mabeberu ya "kuwapanda" mabwana wakubwa uchwara tungenyanyasana sana wenyewe kwa wenyewe!
Hao jamaa ndio wanaleta uchonganishi na kuuza silaha kumbuka
 
Kwa hiyo Mabeberu wanasubiri mpaka uchaguzi badala ya kuanza na hivi viashiria vya kukosekana kwa uchaguzi huru na wa haki....akemee basi na uvunjaji wa sheria wa waziwazi unaofanywa na Wagombea, kauli za kutishia Wagombea wengine, 'kauli hongo' kwa Wapiga kura n.k.
 
Hao jamaa ndio wanaleta uchonganishi na kuuza silaha kumbuka
Si muache kununua, wakija kuuza silaha mkasema hatuzihitaji tatizo litatoka wapi?...silaha ni sawa na dawa za kulevya, sio kwa kuwa tu zinapatikana basi uanze kutumia.
 
Nadhani unaota wewe
Watu wameishachoshwa na chama cha hovyo kwa miaka 60 watu wanakamia umaskini. Ni wachache wenye uchu wameshikilia madaraka kwa manufaa yao binafsi. Ila kuna mbumbumbu wengi wanaunga mkono ccm bila hata kujua wanachofanya. Wewe ni mmoja wao.
 
Mabeberu wako sahii I support them
Watanzania huwa hatuchaguliwi raisi

Mgombea ikionyesha tu dalili kuwa kuna support ya uarabuni ,ulaya au marekani hapiti

Lisu na Maalim Seif hawatashinda

Wamarekani hawajatujua tu?
Waliwekeza kwa Lowasa,Maalim Seif,Nyalandu na Membe 2015 si waliona muziki wa watanzania?

Itakuwa na hii takataka Lisu?
 
Si muache kununua, wakija kuuza silaha mkasema hatuzihitaji tatizo litatoka wapi?...silaha ni sawa na dawa za kulevya, sio kwa kuwa tu zinapatikana basi uanze kutumia.
Jamaa ni wajanja, wanapandikiza chuki kwa jamii pili wanaanzisha vita then biashara ya silaha...

Wanatumia sana wanaharakati wa mambo ya haki za binadamu.nk kufanikisha mission zao...

Nawaza tuuu
 
Zero brain you can't rectified anything the temperature of revolution is inevitability
 
Wangetusaidia kwanza KUFURUSHA hawa wakoloni ccm, afu porojo baadaye
 
Jamaa ni wajanja, wanapandikiza chuki kwa jamii pili wanaanzisha vita then biashara ya silaha...

Wanatumia sana wanaharakati wa mambo ya haki za binadamu.nk kufanikisha mission zao...

Nawaza tuuu
Ila si sawa kuwadhani Watu wote wanaoishi Ulaya wanawatakia wengine mabaya, ipo haja ya kukumbushana wapo wengi tu wanaotamani binaadamu wote wapate maisha mazuri na amani.

Na tusisahau kujiangalia na sisi wenyewe kwa wenyewe kwani tunapendana sana?, kwamba bila silaha za Wazungu tusingefarakana?.

Kuna maelfu ya Waafrika wenzetu wamekimbilia Ulaya na ni hao hao wa Ulaya wanahangaika kuwakarimu ili hali sisi Wenzao tupo kimya kama vile hayatuhusu...ni wapi umemsikia Kiongozi wa Nchi ya Africa akiwaongelea wale wakimbizi waliochomewa makazi kule Ugiriki-Moria camp?.
 
Symbion power imerudi tena?
Watu wenye akili walipoona Obama anapiga danadana ( keepups ) pale Ubungo wakajua zengwe la Umeme Tanzania lipo mikononi mwa beberu.

Sasa picha halisi ya kelele za kuzuia mradi wa Stiegler's gorge inaonekana nani ataumia zaidi kimaslahi kuliko mazingira.
 
Jamaa ni wajanja, wanapandikiza chuki kwa jamii pili wanaanzisha vita then biashara ya silaha...

Wanatumia sana wanaharakati wa mambo ya haki za binadamu.nk kufanikisha mission zao...

Nawaza tuuu
Sasa kama hizo mbinu zao zinajulikana, kwa nini watawala wasiheshimu ama kuzingatia haki za binadamu kwa wananchi wao kitu kitachowanyima mwanya wanaharakati kutumiwa. Sidhani kama kutawala kwa kuzingatia haki kunahitaji hata pesa za nje. Pesa zetu za ndani zinatosha kabisa kum-treat kila mwananchi kwa haki na hivyo tukadumisha amani. Kwa kufanya hivyo utakuwa umelinyima beberu fursa ya kufanya biashara ya silaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…