Uchaguzi 2020 Tanzania: Key U.S. Congress Members Raise Concerns About Elections and Treatment of U.S. Investors in Tanzania

Divide and rule. Hii formula yao ya miaka nenda rudi. Wakoloni na mawakala wao Chadema, mwaka huu mtakula wa chuya. JPM kazi tu.
 
Kibri cha jiwe kimepelekea hivi hivi jiwe anaenda kuukosa urais.


Kwaheri jiwe kwaheri CCM.A
 
Mkuu Wamarekani hawana cha kutufundisha katika jambo lolote,after all to me it is a failed state!At most they should learn from Tanzania,it be in COVID management,management of the econony etc.etc.Halafu few people realize that America is a dictatorshup and not a democracy as it claims!Fuata link ifuatayo uone ukweli huo!


America is not a democratic nation,it is infact a dictatorship.

Lakini few people also realize that the so called democracy is an illusion created by the NWO of which America is part so that it can achieve its' demonic goals.Fuata link ifuatayo uone.


Democracy is an illusion of the Illuminati to be able to advance their agenda and ultimately enslave humanity.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Democracy ni Uhuru wa wananchi kufanya maamuzi ya nchi yao, achana na propaganda za watawala wanaotaka mifumo ya kifalme.
 
Democracy ni Uhuru wa wananchi kufanya maamuzi ya nchi yao, achana na propaganda za watawala wanaotaka mifumo ya kifalme.
Huijui what is behind the curtain,uliyofundishwa shuleni is a lie,tupa kapuni.It's a means to your enslavement.
 
The US Congress cannot ensure US 2020 election is carried out in a free, fair, credible, transparent, and peaceful manner. US citizens are worried that Trump may declare himself a winner or may not recognize Biden's win. He is looking forward to using the conservative filled supreme court to help him become president. US Congress should start worrying about US election problems instead of worrying about TZ. Last election Putin helped put Trump in power and he (Putin) planning the same this year. Look who is lecturing about fair elections! that enables Tanzanian citizens the opportunity to exercise their right to vote.
 
Huijui what is behind the curtain,uliyofundishwa shuleni is a lie,tupa kapuni.It's a means to your enslavement.
Nafahamu watu wenye ubongo wa aina yako. Upo sawa, tuishie tu hapa mkuu.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…