Tanzania (Kilimanjaro Stars) vs Zimbabwe

Tanzania (Kilimanjaro Stars) vs Zimbabwe

heading inabidi ianze kili star halafu ifuate zimbabwe kwa sababu kili star wapo nyumbani. Mia
 
beki ya kilimanjaro star haijatulia na haielewani kwa hiki kipindi cha kwanza. Mia
 
Natazama hili game kwa umakini mkubwa, hadi dkk ya 15 tumeshapigwa 2-0. Wenzetu Kenya wamepigwa na Sudan 1-0.

Asante kwa KBC1 kwa kuwa hewani LIVE.
 
Upo serious mkuu,au?

upo uwezekano wa kufungwa magoli mengine sababu beki haijatulia. but fowadi wanajiitahidi. mbwana samata hayumo, kacheza ngasa, ulimwengu na said maulid kwa upande wa fowadi. mia
 
Haya bwana kocha aliamua kuodoa wazee wote e.g wa akina nsajigwa bila kuangalia uzoefu na uwezo wa mchezaji
 
Baada ya hii mechi, wachezaji wote wa Kili Staz na Makocha wao inabidi wastafishwe mechi za kimataifa kwa manufaa ya Umma.
 
Wazimbabwe wanagawana mpira huku kili stars wakitazama tu. Washabiki wa YANGA sasa wanashabikia wazimbabwe na kulingana na matangazo hapa ni kwamba hawafurahishwi na kocha Boniface Mkwasa kutowajumisha wachezaji wa yanga kwenye kikosi!
 
huyo firauni julio tokoliake kabisa hana adabu anaishia kubwabwaja huyo tenga tokoliake kabisa shenzi wakuba
 
leo wanafungwa tano kama sio m navua nguo hadharani
 
Back
Top Bottom