Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Sawasawa!Kuwa mwanaharakati ni tatizo maana unaowaamini nao wanawaamini usiotaka wawaamini! Mnahisi mnasogea kumbe mnarudishwa kinyume nyume!!
Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya vituo 20 pekee vya Afrika vitakavyoshughulikia maombi ya visa za Marekani chini ya mfumo mpya wa marekebisho ya huduma za ubalozi wa Marekani barani Afrika.
Hatua hii inaimarisha nafasi ya Tanzania kama nchi yenye umuhimu mkubwa kikanda, mahusiano mazuri ya kidiplomasia, na nafasi ya kimkakati katika Afrika Mashariki.
Jiji la Dar es Salaam sasa litahudumia waombaji wa visa kutoka nchi mbalimbali za ukanda huu, jambo linalotarajiwa kuongeza uunganishwaji wa kikanda, biashara, safari na ushirikiano wa kimataifa.View attachment 3600923
leo wanaobagazwa na kubanangwa ni et wanaharakaui.Leo wamarekani wamekuwa wazuri, Marekani ni kama maji usipoyanywa lazima uyaoge.
Na kunyanyua kidole juu na kushika kiuno na kubetua midomo na kubwatuka, "who are you?"Hawa si ndo tumewabeza Kyoma? Hawa si ndo tumewabagaza?
Kwa hapa Afrika Mashariki.Leo wamarekani wamekuwa wazuri, Marekani ni kama maji usipoyanywa lazima uyaoge.
Pia anashindwa kuelewa kuwa idadi ya wamarekani kuja Africa, Tanzania inaweza kuhost asilimia kubwa sana kutokana na uwepo wa Serengeti, Kilimanjaro, Ngorongoro, Zanzibar beaches and so on, hawawezi jifungia chimbo lao la mapumziko ya hapa na pale, ila ile misaada ya kifedha kwenda direct kwa government na sharing of security intelligence vinaweza kuwa compromised kuipunguza nguvu serikali hii ovu.you dont really get it, USA haina shida na sisi kama nchi na wananchi bali ina shida na hii evil regime usichanganye mambo, hii regime ikiondoka na inaondoka tunaendelea na uhusiano wetu na USA kama kawaida sasa kwa nini USA aache kuinvest kwetu for future?
hii regime inapita tanzagiza inabakia …