Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Kama kweli tuko serious katika mapambano dhidi ya Rushwa tungeachana na na ADAN ambaye anatuhumiwa kila kona kwa rushwa. Sisi tumesema tunaendelea naye kwasababu wanufaika wa miradi hii ndiyo wenye mamlaka ya maamuzi. Mwisho wa siku mwananchi wa kawaida ndiyr mbeba zigo kulipia hasara. Jitafakarini nyie serikali ya CCM. Aidha hii inaonyesha TAKUKURU ni sawa na UJASIRIAMALI tu maana hawana sauti yoyote hata ya kuishauri serikali tu hawana.
TAKUKURU ni kitengo cha kujipa ajira ya kiujasiriamali tu kwasababu hata hao TAKUKURU huuana kwasababu ya ushindani wa kuchukua rushwa kubwa kubwa. Tuliwaamini sana nyie serikali bali shetani amewakumbatia zaidi. Mpo chini ya mbawa za shetani hamkamatiki, sasa MNAILINDA RUSHWA BADALA YA KUPAMBANA NAYO. Maajabu Hayo!!!