Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Anaenda kufungwa 2+ hii naweza kubet chochote(Wewe usiweke chochote Tanzania akifungwa chini ya goli mbili kesho nidai ten)Hizo goli hazipo Nigeria amechoka sana siku hizi
Usijitoe JF bado tunahitaji michango yako
Comments zote naquote ili msije kuedit baadaeAmka usije ukakojoa kitandani
Anapigwa 4+.TANZANIA ASIPOFUNGWA 3+ NAJITOA JF
Yapigwe tuuAnapigwa 4+.
Poa poaNtakukumbusha 😅
Sasa hili kundi lina ugumu gani? Yaani Tunisia,Uganda na Nigeria waliojichokea ndo mnawahusudu hivi?Jamaa yangu hizi ni ndoto asee usianze kutupanga na habari za analysis.Sema tu tukipata angalau point moja kwenye kundi labda(hii yenyewe ni ngumu ndio tukabebe kombe)
Umemuona huyo tu??Na beki wenu mwamnyato?? Amka usingizini wewe
Hello
Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili
Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na hazina ubora ule tuliouzoea siku zote
Viwango vya wachezaji havipishani sana baina ya yale mataifa makubwa kisoka na mataifa madogo
Hapa Tanzania tukichanga karata zetu vizuri mwali anarudi nyumbani mchana kweupe, mpaka sasa sijaona timu ambayo inayocheza mpira wa kutisha kiasi kwamba tuwe na hofu nayo
Group letu la kawaida sana hakuna team ya kuisumbua Tanzania wote tunaocheza nao tunawafahamu vyema na wamechoka kisoka siku hizi
Naitakia kila la kheri Taifa stars, tuungane pia kuliombea Taifa letu
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars
Hivi TBC wataonesha hii mechi?
Nigeria hata bila kocha timu yao inatufunga,Tunisia bila kocha pia tunafungwa.Uganda ndio timu pekee tunaweza kujaribuSasa hili kundi lina ugumu gani? Yaani Tunisia,Uganda na Nigeria waliojichokea ndo mnawahusudu hivi?
Hao wanigeria ambao kila siku wananuniana mazoezini ndo watusumbue sisi?