joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
pongezi zote kwa JPM na serikali yake
Baada ya kuiongoza Afrika katika vita vya kulikomboa bara la Afrika, sasa hivi Tanzania imeanza kuiongoza tena Afrika katika vita vya kiuchumi, kuhakikisha kwamba, bara la Afrika linakoma kuwa sehemu ya kutajirisha mataifa ya nje.
Tanzania imetoa masharti mazito kwa China kama inataka kuwekeza katika bandari ya Bagamoyo. Ikumbukwe kwamba huwa wawekezaji ndio wanaotoa masharti, ila Tanzania imeanza kutumia mfumo mpya kabisa kutumika hapa Afrika, kwamba muwekezaji anakutana na masharti tayari, akikubaliana nayo ndiyo aweze kuwekeza.
Ni matumaini yangu kwamba jirani wetu atajifunza na ikiwezekana akapitie upya ule mkataba wa SGR.
Ni vizuri Kwanza tujikomboe ndugu yangu. Wakulima wa Korosho hatujawalipa kwa mwaka moja Sasa na Hii Serikali iliuza Korosho yote na SI eti tuliuza kwa deni. Hela ziko wapi?
Baada ya kuiongoza Afrika katika vita vya kulikomboa bara la Afrika, sasa hivi Tanzania imeanza kuiongoza tena Afrika katika vita vya kiuchumi, kuhakikisha kwamba, bara la Afrika linakoma kuwa sehemu ya kutajirisha mataifa ya nje.
Tanzania imetoa masharti mazito kwa China kama inataka kuwekeza katika bandari ya Bagamoyo. Ikumbukwe kwamba huwa wawekezaji ndio wanaotoa masharti, ila Tanzania imeanza kutumia mfumo mpya kabisa kutumika hapa Afrika, kwamba muwekezaji anakutana na masharti tayari, akikubaliana nayo ndiyo aweze kuwekeza.
Ni matumaini yangu kwamba jirani wetu atajifunza na ikiwezekana akapitie upya ule mkataba wa SGR.
Unateseka sana mwasitiNi vizuri Kwanza tujikomboe ndugu yangu. Wakulima wa Korosho hatujawalipa kwa mwaka moja Sasa na Hii Serikali iliuza Korosho yote na SI eti tuliuza kwa deni. Hela ziko wapi?
Jealous foolDREAM DREAM DREAM DREEEEEAAAAM
Tulipitia upya mikataba ya madini, tumefanikiwa kupata mikataba mipya na yenye maslahi zaidi, Tumefuta mkataba wa mwanzo wa Bagamoyo port, ambao uliandikwa na wachina, sasa hivi tumewapa wachina mkataba wetu vile tunataka, uchaguzi uko kwao. Kama imewezekana kwa Tanzania, kwanini inashindikana kwa Kenya?, wake up Nyang'au.DREAM DREAM DREAM DREEEEEAAAAM
Tulipitia upya mikataba ya madini, tumefanikiwa kupata mikataba mipya na yenye maslahi zaidi, Tumefuta mkataba wa mwanzo wa Bagamoyo port, ambao uliandikwa na wachina, sasa hivi tumewapa wachina mkataba wetu vile tunataka, uchaguzi uko kwao. Kama imewezekana kwa Tanzania, kwanini inashindikana kwa Kenya?, wake up Nyang'au.
Huyo Dada hajui chochote kuhusu Bagamoyo port, ila wewe unajua kila kitu kuhusu mkataba wenu na China kuhusu SGR, leta mkataba wenu na wachina tuone.Lete huo mkataba wa china tuuone hapa...
Ndugai alikua right, lkn kilichomponza tumbo..
Sai wachina wamewaruka, sasa mmeanza kutapatapa na vi vlog vya youtube..huyo mdada hajui chochote kuhusu hyo bagamoyo port...we mwenywe mkataba hujauona na uko hapa unakata mauno
Eti wa kuwaibia km wa kenya...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Dada hajui chochote kuhusu Bagamoyo port, ila wewe unajua kila kitu kuhusu mkataba wenu na China kuhusu SGR, leta mkataba wenu na wachina tuone.
Muhimu ni kwamba, tulipambana katika mikataba ya MADINI na tukaibuka washindi baada ya kufuatilia mbali mikataba ya zamani, ACACIA alipoleta ujuaji wake tukamfuta kabisa.
Tumefanikiwa kufutilia mbali mkataba wa kwanza wa Bagamoyo port, tumiandika upya mkataba vile tunavyotaka, tunawasubiri wachina, wakitaka kuwekeza lazima wakubaliani na matakwa yetu, wakishindwa waondoke, Tanzania sio Kenya, hatuwezi kuibiwa hovyo hovyo.
Kumbuka China ilikubali kutukopesha pesa kwa ajili ya SGR, $7.6B, lakini tulipogundua una masharti ya kutuibia kama ulivyokua wa Kenya, tukakataa na kuanza kujenga kwa pesa yetu. Tanzania hoyeeeeerr