Sasa mzungu akisema kitu wengine wenu mnapata nyege. Tulieni. Tanzania itatupita kiuchumi ile siku Yesu atarudi.
Hao wazungu si ndio waliowadanganya kwamba kupima na kutangaza matokeo ya maambukizi ya Corona kila siku ndio njia pekee ya kukabiliana na maambukizi mapya na nchi yoyote itakayotumia njia tofauti haiwezi kudhibiti Corona? Kama kawaida yenu ya kuabudu wazungu mkaingia kichwakichwa sasa hivi Corona inawatia mimba bila kutumia Condom[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mzungu akisema kitu wengine wenu mnapata nyege. Tulieni. Tanzania itatupita kiuchumi ile siku Yesu atarudi.
Kwa wenye akili kama huyu hili lipo wazi, Hongera Tanzania, Hongera Dr JPMProfessor of wa chuo maarufu nchini Kenya katika mahojiano na kituo cha television cha Citizen amesema baada ya miradi ya Standard Gauge Train na Mwalimu Nyerere Hydro Power Project vikikamilika uchumi wa Tanzania utapanda na kuzidi uchumi wa Kenya.
Mnao weweseka ni ninyi wenyewe, sisi huku tunachapa kazi, kwetu Kenya ni mtoto mdogo sana hatumfikirii kabisa, ninyi huko kwenu kila siku mnawaza Tanzania.Hii chorus ya Tz kuipiku Kenya kiuchumi inafanana sana na ile ya kuhamia Dodoma. [emoji1]
Ulisikia wapi?Mnao weweseka ni ninyi wenyewe, sisi huku tunachapa kazi, kwetu Kenya ni mtoto mdogo sana hatumfikirii kabisa, ninyi huko kwenu kila siku mnawaza Tanzania.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kivipi yaani kuhamia Dodoma.Hii chorus ya Tz kuipiku Kenya kiuchumi inafanana sana na ile ya kuhamia Dodoma. [emoji1]
Huyo mzungu ni mtanzania?, hiyo TV station ni kutoka Tanzania?. Onyesha Interview yoyote ya Tanzania inayozungumzia Tanzania kuipiku Kenya. Huku Tanzania hakuna mtu ansyezungumzia Kenya zaidi ya sisi hapa JF.Ulisikia wapi?
Uuuuiii! Kenya thiiitimaaa! [emoji38] Huu wimbo utawafaa sana kama wimbo wao wa taifa. Angalau waache kudandia ule mwingine wa wazulu.Tutaipita Kenya, Kenya lazima ipitwe, Wakenya hawana lolote tutawapita, hawa Wakenya nimeishi kwao Kibera tutawapita, Wakenya...mama fire naungua Wakenya...moto Wakenya....Kenya...Kenya uuuuuuiiiiiiiii....Kenya Wakenya.
Hongereni kwa kufanikiwa kutumia miaka zaidi ya 35 kuhamia Dodoma. Mzee atakata utepe lini?Kivipi yaani kuhamia Dodoma.
Serikali ya Kenya itahamia Dodoma ama.
Kama ni Serikali ya Tanzania tayari yote imeshahamia Dodoma na Rais kaapishwa Dodoma.
Hahaha, nani wenye kuimba huo wimbo kama sio ninyi wenyewe kutokana na hofu na jinsi mnavyoiogopa Tanzania?. Wakenya mnatuogopa sana hadi sisi wenyewe tunawashangaaUuuuiii! Kenya thiiitimaaa! [emoji38] Huu wimbo utawafaa sana kama wimbo wao wa taifa. Angalau waache kudandia ule mwingine wa wazulu.
Ulisikia wapi? TBC? [emoji1]Hahaha, nani wenye kuimba huo wimbo kama sio ninyi wenyewe kutokana na hofu na jinsi mnavyoiogopa Tanzania?. Wakenya mnatuogopa sana hadi sisi wenyewe tunawashangaa