Tanzania kuipita Kenya kiuchumi

Pamoja na hilo, kuipita Kenya kiuchumi siyo kipaumbele chetu kama taifa. Tanzania kama nchi, kipaumbele chake ni kuyapita malengo yake iliyojiwekea bila shuruti na kwa kuangalia mahitaji ya wananchi wake.
 
Ukiamka utakuwa umesahau ulichoota, usitusumbue kukutafsiria ndoto nyevu.
 
Na nini maana ya competition na rivalry?

Au unajifanya kufunga macho?Tunaita ostrich method?

Huwezi fungia macho mambo hayo hapo juu no matter how wanafiki we are!

Kama kawaida yako ya kurukia mada bila kujipanga.
Nimekuona kiwili wili, sijakuona kichwa wala miguu. Njoo tena ukiwa mzima, yaani ukiwa na kichwa, kiwili wili na miguu.
 
Sasa hii miradi itakamilikia wapi wakati imeshaanza kufa kibudu?
 
Eti "kashitaki popote" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiwe unapoteza muda wako kubishana na watu kama hao.

Unaweza kuniambia huyu black American ni nani? View attachment 1638305

Bro msamehe bure, sababu anaijua, niliwahi kumwambia hapa live.

Nilimwambia, yeye anaweza kuwa wa kiume, lakini is possessing the female brain. This why he is always in template, moody, etc
 
Kwa hiyo wewe unafanya maendeleo kwa kuangalia mwingine?

Hongera kama ni hicho

lakini binafsi naona kujifunza kwa wengine waliofanya vizuri pia ni hekima ya kukusaidia kuendelea, ila si kwa competition or a rivalry.
 
Kwa hiyo wewe unafanya maendeleo kwa kuangalia mwingine?
Hongera kama ni hicho,
lakini binafsi naona kujifunza kwa wengine waliofanya vizuri pia ni hekima ya kukusaidia kuendelea, ila si kwa competition or a rivalry.

karukwa na akili huyo,hiyo profile yake inaongea mengi sana[emoji16][emoji16].
 
Eti "kashitaki popote" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiwe unapoteza muda wako kubishana na watu kama hao.

Unaweza kuniambia huyu black American ni nani? View attachment 1638305
Wewe unatabia za kike sana. Udaku mwingi. Sasa mbona unachokora twitter handle za watu? Wachana na yeye. Wewe nimekuogopa sana.
 
Nilifikiri mabeberu ni maadui wa TzπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Wewe unatabia za kike sana. Udaku mwingi. Sasa mbona unachokora twitter handle za watu? Wachana na yeye. Wewe nimekuogopa sana.
Ala!!!Huyu naye huwa si dem.I thought ni HeπŸ˜‚πŸ˜‚ Enyewe kanakuwanga na umama sana.
 
Ama ni mchwawi anakusorora ya nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
But for real, watu wengi sana hapa JF hawajui kama wewe ni chali ama dem. Watu wamechanganyikiwa. Kwanza team mafisi hehe 😁 😁 wamechanganyikiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…