Tanzania kujenga viwanja 6 vipya bora vya mpira kabla ya 2026

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Tanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.

Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa.

Mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara, Mbeya na Unguja.

Hili limekuja baada ya Tanzania kuwa ni mwandaaji wa michuano ya afcon 2027.

 
Sio viwili tena Arusha na Dodoma?
 
Ndio vipa umbele vyetu? Nchi kama Egypt ina Mega project za kuifanya kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Africa ndani ya miaka 2 au hata mmoja ijayo, sisi tuko busy na ujinga, Project za kuvutiwa waswahili wakaa vijiweni.

Nchi ina project za Kiswahili sana
 
Usiiamini hii serikali hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…