what is your problem, ni kwasababu hauna hela ya kwenda kuspend au vipi, fanya kazi kwa bidii, tafuta hela na wewe ukaspend. karne zote duniani kuna wenye nacho na wasokuwa nacho, na haitakuja kubadilika. wewe unayeongea kwa hicho kidogo ulichonacho umefanya nini?
hotels, mikahawa etc ugarama wao unategemeana na huduma...mfano, kuna jamaa yangu diplomat alikuja kufanya kazi Dar, nyumba nzuri zilikuwa nyingi, lakini tulimchagulia moja tu iliyokuwa na facilities zote, including "24 hours security", hicho tu ndo kilifanya alipe dola 3500 kwa mwezi, kwasababu ya ulinzi masaa 24....nyumba zingine ni nzuri lakini hazina huduma hiyo, hivyo utalipa dola 1000 kwa mwezi etc...hivyohivyo na hotel au migahawa....however, sishabikii watu wasiowapa misaada watu maskini, kama mtu unacho unatakiwa kumsaidia asiyenacho kwa namna yoyote ile.