Tanzania kumbe na sisi tupo kwenye michuano ya Africa Gabon 2017

mtafiti05

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
956
Reaction score
593
Timu imara ya Tanzagiza inatuwakilisha Gabon bwana,

KIKOSI CHETU HIKI HAPA;
1.Mh Kairuki,
2.Prof Ndalichako
3.Simbachawene
4.Jafo
5.Nchemba
6.Majaliwa
7. Nnauye
8.Makonda
9.MAGU
10.Mbarawa
11.Maghembe

COACH: DR.TULIA.

SUB:
1.Ester Bulaya
2.Lijuakali
3.Lema
4.Mbowe
5.Lissu
6.Lowassa
7.Prof J
8.Zito kabwe

Namba gani imefiti na namba gani imepwaya? Je hichi kikosi kitatufikisha hata 1/4 finali kweli?

Namba gani inavuja na haifanyi majukumu yake uwanjani? Nani aingie kuziba pengo?
 
Ila namba 9 kikosi cha 1 ni hatari, inacheza uwanja wote mpaka nakudaka inadaka!
 
Naona kuna dalili kikosi cha kwanza MTU kuuzwa kwa mkopo
 
Namba 10 ana dalili za kutuvusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…