BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Mawaziri wengi wa Tanzania wana uwezi mdogo sana wa kufanya kazi, Ila wanabebwa kwa sababu za kisiasa tu.
Kule Kenya, Ruto kavunja Balaza la Mawaziri na anatarajia kutangaza Baraza jipya siku chache zijazo. Haya ni maamuzi Magumu sana ambayo kwa nchi ya kubembelezana kama Tanzania huwezi yakuta kabisa.
Tanzania shida tuna mfumo wa kubembelezana, mfumo wa uchawa na mfumo wa kulindana sana.
Angalia hata Wakuu wa wilaya asilimia 100 wana uwezo mdogo sana ukitoa mihemko yao, kuna yule sijui Mkuu wa wilaya Mlemavu kule Kisarawe yule anauwezo mdogo mno ila ulemevu ndio umempatia ukuu wa wilaya. The same na Wakuu wa mikoa wana uwezo mdoho sana, Makonda anacheza na akili za wajinga wa hili Taifa.
PIA SOMA
- Breaking News: - William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya