Tanzania kuna data recovery centre?

Tanzania kuna data recovery centre?

Nimekuja kuuliza tena hii ishu. Kuna data za muhimu sana zimekufa na hard drive. Je kuna hapa tuna data recovery centre? Centre ya wale wataalamu wenye maabara kabisa. Kama hawa jamaa.

View: https://youtu.be/eyr14_B230o?si=snGt5qwNJNgUkj9q

sina hakika ila sidhani. niliwahi kumsikiliza musa hussein wakati alipotengeneza kile kipindi cha safari ya nungwi. anasema waliposhoot wakamaliza. hard disk iliyokuwa na zile footage ikaharibika so footage zote zimo mle. wakatafuta mtu wa kuirecover hizo data bila mafanikio. kama sikosea alisema ile hard disk walikuja kuituma india ndio wakarecover hizo data zao.
 
Watanzania kwa ujumla hawana hela ya kulipia hiyo huduma so huwezi kuendesha hizyo biashara kiakamilifu. Ukigoogle utaona zipo kadhaa zinadai wanafanya ila level ipi sio rahisi kujua labda uwapigie wengi watatjaribu kutumia software za recovery ila sio kubadili parts.
 
Tuko nyuma mno kwenye vitu serious.
 
Nimekuja kuuliza tena hii ishu. Kuna data za muhimu sana zimekufa na hard drive. Je kuna hapa tuna data recovery centre? Centre ya wale wataalamu wenye maabara kabisa. Kama hawa jamaa.
Kama hard disc inazunguka na kusomwa na operating system ila data hazisomi unaweza kutumia EaseUS data recovery software. Utaweza kurecover data zote ila inaweza kuchukua muda wa masaa kadhaa (hata zaidi ya 24hrs).

Kama EaseUs haisomi, kuna uwezekano ni electronics au mechanical failure. Njia bora ni kununua hard drive yenye specs kama yako halafu ifungue na ku badilisha platters (disk), yaani weka platters za zamani kwenye HHD mpya, halafu angalia kama itasoma data.
 
Kama hard disc inazunguka na kusomwa na operating system ila data hazisomi unaweza kutumia EaseUS data recovery software. Utaweza kurecover data zote ila inaweza kuchukua muda wa masaa kadhaa (hata zaidi ya 24hrs).

Kama EaseUs haisomi, kuna uwezekano ni electronics au mechanical failure. Njia bora ni kununua hardrive yenye specs kama yako halafu ifungue na ku badilisha platters (disk), yaani weka platters za zamani kwenye HHD mpya, halafu angalia kama itasoma data.
Shukrani nitajaribu. Wakati mwingine inaonekana, ila data ndiyo hazisomi.
 
Tz kila kitu ni maumivu tu kodi zinazokusanywa kila day haziakiss huduma tunazopata japo bado tunalipia hatupew bure
 
Miaka ya nyuma ilikuapo pale Benjamin Mkapa tower, kuna ofisi ilikua inaitwa nadhani data house.
 
Nimeongea kwa kifupi hapo juu ila Kuna mwamba hajaelewa Somo.
 
Jibu swali hajataka bei ,wewe unajua ukwasi wake!?
Kinacho matter ni thamani ya data.....
Kama ni data za thamani kubwa na upo tayari kutoa dau lolote hapo sawa unaweza wasaka hao jamaa google.
 
Back
Top Bottom