Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Jibu swali hajataka bei ,wewe unajua ukwasi wake!?Hata kama zipo utamudu?
Unaambiwa toa million tano je data zako zina thamani zaidi ya hiyo hela?
sina hakika ila sidhani. niliwahi kumsikiliza musa hussein wakati alipotengeneza kile kipindi cha safari ya nungwi. anasema waliposhoot wakamaliza. hard disk iliyokuwa na zile footage ikaharibika so footage zote zimo mle. wakatafuta mtu wa kuirecover hizo data bila mafanikio. kama sikosea alisema ile hard disk walikuja kuituma india ndio wakarecover hizo data zao.Nimekuja kuuliza tena hii ishu. Kuna data za muhimu sana zimekufa na hard drive. Je kuna hapa tuna data recovery centre? Centre ya wale wataalamu wenye maabara kabisa. Kama hawa jamaa.
View: https://youtu.be/eyr14_B230o?si=snGt5qwNJNgUkj9q
Tuko nyuma mno kwenye vitu serious.Watanzania kwa ujumla hawana hela ya kulipia hiyo huduma so huwezi kuendesha hizyo biashara kiakamilifu. Ukigoogle utaona zipo kadhaa zinadai wanafanya ila level ipi sio rahisi kujua labda uwapigie wengi watatjaribu kutumia software za recovery ila sio kubadili parts.
Kama hard disc inazunguka na kusomwa na operating system ila data hazisomi unaweza kutumia EaseUS data recovery software. Utaweza kurecover data zote ila inaweza kuchukua muda wa masaa kadhaa (hata zaidi ya 24hrs).Nimekuja kuuliza tena hii ishu. Kuna data za muhimu sana zimekufa na hard drive. Je kuna hapa tuna data recovery centre? Centre ya wale wataalamu wenye maabara kabisa. Kama hawa jamaa.
Shukrani nitajaribu. Wakati mwingine inaonekana, ila data ndiyo hazisomi.Kama hard disc inazunguka na kusomwa na operating system ila data hazisomi unaweza kutumia EaseUS data recovery software. Utaweza kurecover data zote ila inaweza kuchukua muda wa masaa kadhaa (hata zaidi ya 24hrs).
Kama EaseUs haisomi, kuna uwezekano ni electronics au mechanical failure. Njia bora ni kununua hardrive yenye specs kama yako halafu ifungue na ku badilisha platters (disk), yaani weka platters za zamani kwenye HHD mpya, halafu angalia kama itasoma data.
Haina shida.Shukrani nitajaribu. Wakati mwingine inaonekana, ila
Kinacho matter ni thamani ya data.....Jibu swali hajataka bei ,wewe unajua ukwasi wake!?