johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ya hivyo inaondosha uwajibikaji wa vyama zaidi,tunaitaka katiba mpya ndio dawa 🤔Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni
Katiba ipo ila inaweza kufanyiwa marekebishoYa hivyo inaondosha uwajibikaji wa vyama zaidi,tunaitaka katiba mpya ndio dawa 🤔
Aliyekuambia Watanzania wanataka Serikali ya mseto ni nani? Hiyo Serikali yako ya Mseto ina faida gani kwa Watanzania walio wengi! Zaidi tu ya kuendeleza utafunaji tu wa keki ya Taifa kwa watu wachache?Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Katiba mpya ina gharama zakeAliyekuambia Watanzania wanataka Serikali ya mseto ni nani? Hiyo Serikali yako ya Mseto ina faida gani kwa Watanzania walio wengi! Zaidi tu ya kuendeleza utafunaji tu wa keki ya Taifa kwa watu wachache?
Watanzania tunataka Katiba Mpya, na yenye maudhui yatokanayo na ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba.
Gharama gani unayo iongelea? Halafu unaniuliza swali la mkwara; eti uko tayari? Tayari for what!! Katiba Mpya ilishafikia mpaka hatua ya kuundwa kwa Bunge la Katiba!Katiba mpya ina gharama zake
Uko tayari?
Au ni mbwembwe tu nyuma ya key board
Mbowe alijaribu kudai Katiba mpya pale Mwanza, sidhani kama ataidai tena.Gharama gani unayo iongelea? Halafu unaniuliza swali la mkwara; eti uko tayari? Tayari for what!! Katiba Mpya ilishafikia mpaka hatua ya kuundwa kwa Bunge la Katiba!
Ila kwa bahati nyinyi ma ccm na ukawa, mkauteka ule mjadala kwa manufaa yenu ya kisiasa.
Huwezi kuwa na serikali ya mseto na vilaza wanaopinga miradi yote ya maendeleoKwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni
Tuandike KATIBA mpya.Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Hakuna haja.Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?