Tanzania kuna jumla ya makabila mangapi?

Omari Issa

Senior Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
168
Reaction score
45
Habari zenu wadau?

Nimeona nije na kauzi haka ili niweze kupambanua uelewa.

Ninachokijua na ambacho kinaandikwa kwenye machapisho mbalimbali ni kwamba Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Sasa ukisema zaidi ya, huwa haioneshi idadi halisi ya makabila hayo.

Naomba mwenye uelewa atujuze idadi halisi ya makabila Tanzania.
 
126
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…