COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
UNAMUULIZA NANI?Habari za uzima ndugu zangu. Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia neno "Bunge la Wananchi" najiuliza bunge hili lipo kisheria? Lilichaguliwa lini? Liliteuliwa lini na nani kwa madhumuni gani?
Naomba majibu ya maswali haya toka ama kwa Spika wa hilo Bunge au Wabunge wa hilo Bunge la "Wananchi".
ULIZA NA HILIHabari za uzima ndugu zangu. Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia neno "Bunge la Wananchi" najiuliza bunge hili lipo kisheria? Lilichaguliwa lini? Liliteuliwa lini na nani kwa madhumuni gani?
Naomba majibu ya maswali haya toka ama kwa Spika wa hilo Bunge au Wabunge wa hilo Bunge la "Wananchi".
Kuna bunge la watoto pia wamejazwa watoto wa viongozi wa chama cha mambuzi