Tanzania kuna majaji wa Mahakama ya Rufaa wangapi na majina yao

Tanzania kuna majaji wa Mahakama ya Rufaa wangapi na majina yao

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mwenye kujua idadi na majina ya Majaji wa mahakama ya rufaa aniwekee hapa.
Thanks.
 
Ingia kwenye website ya judiciary (court of Appeal), utaona sio idadi na majina tu, bali hadi picha zao.
 
Mwenye kujua idadi na majina ya Majaji wa mahakama ya rufaa aniwekee hapa.
Thanks.
Wapo Majaji 15,,,
IBRAHIMU JUMA, CJ
LEVIRA JA
NDIKA JA
WAMBALI JA
MUSSA KIPENKA JA
KITUSI JA
MWAMBEGELE JA
MWANDAMBO JA
MKUYE JA
MUGASHA JA
 
Back
Top Bottom