Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Jun 23, 2021 #1 Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi. Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi. Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Jun 23, 2021 #2 Kikiingia chama kipya madarakani nyaraka karibu zote za siri mtaziona wananchi. Msihofu, lakini chini ya CCM usitegemee kuona kitu chochote cha siri. Labda barua ya ajira mpya au kupandishwa daraja iliyoandikwa siri ndio utaiona.
Kikiingia chama kipya madarakani nyaraka karibu zote za siri mtaziona wananchi. Msihofu, lakini chini ya CCM usitegemee kuona kitu chochote cha siri. Labda barua ya ajira mpya au kupandishwa daraja iliyoandikwa siri ndio utaiona.