Tanzania kuna vyuo vya kusomea madawa ya asili?

Tanzania kuna vyuo vya kusomea madawa ya asili?

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,894
Reaction score
6,020
Habari za usiku wakuu?

Naomba kufahamu kama hapa Tanzania kuna vyuo vinavyotoa mafunzo ya madawa ya asili. binafsi nimesomea mambo ya madawa ya hosptalini na kwenye familia yetu wote wamesomea madawa kuanzia wazazi mpka watoto bibi mkubwa ni daktari pale Muhimbili.

Kitu kinachonisukuma zaidi nataka nijifunze zaidi madawa ya asili kuanzia kuandaa na kutambua kuwa huu ni mmea flani unatibu hivi na hivi, unafanya kazi hii unatibu magöjwa fulani.

marehemu babu alikuwa anajua zaidi kuhusu madawa ya asili na alinifundisha vitu vichache kuhusu dawa za asili. mfano alinifundisha kuandaa za mtu aliyeathirika na punyeto au aliyepungukiwa nguvu na kuhusu alinielekeza kidogo kuhusu utendaji wa mfumo wa mwili wa binadamu {human anatomy and physiology} na matibabu yake kwa kutumia mimea.

Je hapa Tanzania kuna vyuo hivyo vya madawa ya asali au mpka nje ya nchi?
 
Habari za usiku wakuu?nilikuwa naomba kufahamu kama hapa tanzania kuna vyuo vinavyotoa mafunzo ya madawa ya asili.binafsi nimesomea mambo ya madawa ya hosptalini na kwenye familia yetu wote wamesomea madawa kuanzia wazazi mpka watoto bibi mkubwa ni daktari pale muhimbuli.kitu kinachonisukuma zaidi nataka nijifunze zaidi madawa ya asili kuanzia kuandaa na kutambua kuwa huu ni mmea flani unatibu hivi na hivi,unafanya kazi hii unatibu magöjwa fulani.marehemu babu alikuwa anajua zaidi kuhusu madawa ya asili na alinifundisha vitu vichache kuhusu dawa za asili.mfano alinifundisha kuandaa za mtu aliyeathirika na punyeto au aliyepungukiwa nguvu na kuhusu alinielekeza kidogo kuhusu utendaji wa mfumo wa mwili wa binadamu{human anatomy and physiology na matibabu yake kwa kutumia mimea}.je hapa tanzania kuna vyuo hivyo vya madawa ya asali au mpka nje ya nchi.msaada wakuu

Nenda Muhimbili chuon kaulize kipo hicho kitengo.
 
For those who watched BBC 10 News yesterday may recall that one of the big stories was the publication of an 8 year French Judge's investigation report on the Rwanda genocide. The report, interalia, alleges that President Kagame was personally involved in the shooting of President Habyarymana's plane on 6 April 1994, and it is this shooting that triggered the slaughetering of almost 1m people that ensued thereafter. Thus, the French Judge report is charging that Kagame be prosecuted for his involvement in the Rwandan 1994 genocide, and therefore for a war crime.

The report is an interesting development in the Rwandan genocide because it is for the first time that a connection is being made between the shooting of the plane that carried the then Rwandan President et al and the genocide that ensued later.

What do you think?

SUA wanatoa elimu hiyo bila shaka
 
Habari za usiku wakuu?nilikuwa naomba kufahamu kama hapa tanzania kuna vyuo vinavyotoa mafunzo ya madawa ya asili.binafsi nimesomea mambo ya madawa ya hosptalini na kwenye familia yetu wote wamesomea madawa kuanzia wazazi mpka watoto bibi mkubwa ni daktari pale muhimbuli.kitu kinachonisukuma zaidi nataka nijifunze zaidi madawa ya asili kuanzia kuandaa na kutambua kuwa huu ni mmea flani unatibu hivi na hivi,unafanya kazi hii unatibu magöjwa fulani.marehemu babu alikuwa anajua zaidi kuhusu madawa ya asili na alinifundisha vitu vichache kuhusu dawa za asili.mfano alinifundisha kuandaa za mtu aliyeathirika na punyeto au aliyepungukiwa nguvu na kuhusu alinielekeza kidogo kuhusu utendaji wa mfumo wa mwili wa binadamu{human anatomy and physiology na matibabu yake kwa kutumia mimea}.je hapa tanzania kuna vyuo hivyo vya madawa ya asali au mpka nje ya nchi.msaada wakuu

Mkuu umesomea wapi hiyo elimu yako ya madawa ya hospitali na kwa level gani

Karibu
 
Back
Top Bottom