David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Habari za usiku wakuu?
Naomba kufahamu kama hapa Tanzania kuna vyuo vinavyotoa mafunzo ya madawa ya asili. binafsi nimesomea mambo ya madawa ya hosptalini na kwenye familia yetu wote wamesomea madawa kuanzia wazazi mpka watoto bibi mkubwa ni daktari pale Muhimbili.
Kitu kinachonisukuma zaidi nataka nijifunze zaidi madawa ya asili kuanzia kuandaa na kutambua kuwa huu ni mmea flani unatibu hivi na hivi, unafanya kazi hii unatibu magöjwa fulani.
marehemu babu alikuwa anajua zaidi kuhusu madawa ya asili na alinifundisha vitu vichache kuhusu dawa za asili. mfano alinifundisha kuandaa za mtu aliyeathirika na punyeto au aliyepungukiwa nguvu na kuhusu alinielekeza kidogo kuhusu utendaji wa mfumo wa mwili wa binadamu {human anatomy and physiology} na matibabu yake kwa kutumia mimea.
Je hapa Tanzania kuna vyuo hivyo vya madawa ya asali au mpka nje ya nchi?