Tanzania kuomba mkopo kutoka benki kuu kwa ajili ya SGR

Ukitaka kujua bullet train yetu inavyowasumbua watu vichwa
 
Wanazua tu mambo hawa watu. Kwa taarifa yako tuna avenues kadhaa za kufund project hii.
1. Own source revenue
2. Soft loans like from WBG
3. Going to capital/debt market e.g issuing the EuroBond.
 
Hebu lete sehemu Tanzania ilisema itajenga reli yote kwa pesa zake tumalize ubishi! Maana nyie bwana mliishia kukariri tu!
 
Ni juzi tu mlituimbia mtajenga reli yenyu from Dar sijui to mwanza with $7.2 b all from your own coffers...kwani mna akili kusahau haraka kama ngiri? Tanzagiza bure kabisaa nyie mgejiita Wamboga wala sio Wabongo.
Wakenya mtasesma nini bila ya kugeuzageuza maneno.sisi mbele kwa mbele mpaka kampala, kigali na bujumbura kama hatutafika kinshasa ya baba kabila
 
Wakenya mtasesma nini bila ya kugeuzageuza maneno.sisi mbele kwa mbele mpaka kampala, kigali na bujumbura kama hatutafika kinshasa ya baba kabila
Kama ni ya mdomo najua itafika mpaka itokelezee Bahari ya Atlantic.
 
Serikali ya TZ inajenga mpaka Dodoma kwa hela ya ndani,kutoka dodoma-tabora,Tabora-Isaka,Isaka to Mwanza wanatafuta mkopo wenye masharti nafuu.Zimebaki LOT 3 mpaka kufika Mwanza.Achana na hiyo ya kwenda Rwanda.Kwa hiyo sio mnakuja kichwa kichwa kutoa comment za ajabu.
JPM kawashika vibaya hapa kazi tuu inapigwa maneno pembeni haaa haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…