KiuyaJibu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 848
- 191
Kitaalamu kuna haja ya kuwapeleka watu bara au nchi fulani ili kujifunza ni kwa jinsi gani wao wamefanikiwa kiuchumi.
Nimeiona mahali nikawa najiuliza mwenyewe; hata hivyo, nikaona niwahusishe hapa ndani pia kwasababu "tunajenga nyumba moja kwanini tugombanie fito"
Kama iko sawa, basi nitaomba na mimi niwe sehemu ya hiyo timu.