KiuyaJibu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 848 Reaction score 191 Apr 6, 2023 #1 Kitaalamu kuna haja ya kuwapeleka watu bara au nchi fulani ili kujifunza ni kwa jinsi gani wao wamefanikiwa kiuchumi. Nimeiona mahali nikawa najiuliza mwenyewe; hata hivyo, nikaona niwahusishe hapa ndani pia kwasababu "tunajenga nyumba moja kwanini tugombanie fito" Kama iko sawa, basi nitaomba na mimi niwe sehemu ya hiyo timu.
Kitaalamu kuna haja ya kuwapeleka watu bara au nchi fulani ili kujifunza ni kwa jinsi gani wao wamefanikiwa kiuchumi. Nimeiona mahali nikawa najiuliza mwenyewe; hata hivyo, nikaona niwahusishe hapa ndani pia kwasababu "tunajenga nyumba moja kwanini tugombanie fito" Kama iko sawa, basi nitaomba na mimi niwe sehemu ya hiyo timu.