Tanzania kupeleka washiriki 7 tu kwenye mashindano ya Olympics 2016

Hahahahaaaa nouma sana mpoki anatumia fasihi kufikisha ujumbe kamili
 
Hao wa Ethiopia mnawaona ni jamii ya warimi(wanyaturu) ambao wapo hata hapo Kenya.Tz singida haina uwekezaji wowote wa riadha wakati ndio yenye wanariadha.Tutasindikiza sana tu!
Mkuu waiethiopia sii jamii ya wambulu mm naona kila kitu wanafanana na wambulu kuliko wanyaturu kwani hata kenya nao wapo wanaitwa wasamburu.
 
We murume,fuatilia Historia.Wanyaturu si kabila.Ila kabila lao ni warimi.Nenda kisumu kama hutawakuta warimi.Hayo majina ya wanjiku ni ya kirimi.
 
Hizo kabila zitakuchangaya sana maana zimetokea eneo moja.wairaq(wambulu) walitoka mesopotania.Ila warangi,warimi,habeshi wote ni jamii ya Ethiopia na Eritria
 
Mashindano upande wa Judo yamekwishafanyika na mshiriki wetu toka Tanzania Andrew Mlugu ameshindwa na muaustralia Jake Bensted kwa hiyo tumekwisha poteza medali upande wa Judo wacha tuendelee kusubiria miujiza kwa michezo miwili iliyobakia.
 

Attachments

  • rio2016_live_imag.jpg
    28 KB · Views: 35
Swimming wanaume tumesha shindwa, judo tumesha shindwa imebaki swimming wanawake na riadhaa tu .
 
Proudly Kenyan..........oooops..I mean Tanzanian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…