Mwaka 2022/2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imewezesha uwekezaji wa shamba la kuzalisha kuku wazazi halisi (Grandparent Stock) lenye uwezo wa kufuga kuku 60,000 na kuzalisha mayai ya kuku wazazi halisi 40,000 kwa siku, uwekezaji huu utapunguza uagizaji wa vifaranga nje ya nchi.
Tanzania inazidi kusonga mbele chini ya Rais Samia Suluhu
Tanzania inazidi kusonga mbele chini ya Rais Samia Suluhu