Tanzania kuruhusiwa kuandaa AfCON?

Tanzania kuruhusiwa kuandaa AfCON?

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Vigezo hivi hapa

FB_IMG_16842526165239971.jpg
 
Tusipoteze pesa kuandaa hayo mashindano.

Gabon inajutia
 
Natamani tuandae Ayo mashindano ili tupate viwanja bora
 
Tusipoteze pesa kuandaa hayo mashindano.

Gabon inajutia
Gabon ukiachana na timu ya taifa, sio watu wa mpira. Ila watanzania wanapenda mpira, hakutakua na majuto.

Viwanja vipo, vinahitaji modifications tu. Kirumba, Jamhuri, Amri Abeid na Nangwanda vikiwa upgraded itakua ni manufaa hata kwa ligi yetu pia.

Gabon viwanja vyao tayari vumegeuka kua vichaka, ila haitaweza kua hivyo kwa hapa Tanzania. Lakini pia, Tanzania tunayo mengi ya kutangaza kupitia AFCON ikiwemo utalii. Sidhani kama Gabon wako na vivutio kama sisi.
 
Back
Top Bottom