Gabon ukiachana na timu ya taifa, sio watu wa mpira. Ila watanzania wanapenda mpira, hakutakua na majuto.
Viwanja vipo, vinahitaji modifications tu. Kirumba, Jamhuri, Amri Abeid na Nangwanda vikiwa upgraded itakua ni manufaa hata kwa ligi yetu pia.
Gabon viwanja vyao tayari vumegeuka kua vichaka, ila haitaweza kua hivyo kwa hapa Tanzania. Lakini pia, Tanzania tunayo mengi ya kutangaza kupitia AFCON ikiwemo utalii. Sidhani kama Gabon wako na vivutio kama sisi.