Wanachezea WADANDANYIKA sana sana hawa!Huu mradi ni njia tu ya upigaji wa kodi za wananchi na kutengeneza taasisi zitakazoendeleza upigaji na kuweka ndugu zao ktk uongozi
ATCL na TTCL wanaendelea kutia hasara nchi, pasipo kujari
Vyoo tu bado ni shida itakuwa SatelliteYametushinda na uku chini kama barabara nzuri, shule nzuri na zenye vifaa, hospitali bora na zenye vifaa, maji na umeme bado ni changamoto. Tutaweza hayo ya uko juu na hizi siasa mbovu kwenye hii nchi. Naona ni siasa kama zingine. Embu Tupe na link tuone wote
Tanzania yenye madini, gesi, vivutio ila bado choo kinajengwa na wafadhili. ila viongozi wote wana V8 ambazo ziko standard, service uhakika na hamna kitu wanakumbuka kuhusu mtu wa hali ya chini. Ndio leo mnawaza satelliteVyoo tu bado ni shida itakuwa Satellite
Halafu yule TUMBILI anadai serikali haijengi vyoo wala parking places?! Na kila mara wanasafiri kwenda ughaibuni! It's totally amazing from these people?! Honestly wanaishi kwenye Dunia yao! Na tunawaruhusu watuongoze! Why?!Tanzania yenye madini, gesi, vivutio ila bado choo kinajengwa na wafadhili. ila viongozi wote wana V8 ambazo ziko standard, service uhakika na hamna kitu wanakumbuka kuhusu mtu wa hali ya chini. Ndio leo mnawaza satellite
Tukidai uwajibikaji na mabadiliko ya sheria na katiba, kuna mambo kadhaa kutekwa, kupewa kesi, na hata kupotezwa. Ipo siku yatafika mwishoHalafu yule TUMBILI anadai serikali haijengi vyoo wala parking places?! Na kila mara wanasafiri kwenda ughaibuni! It's totally amazing from these people?! Honestly wanaishi kwenye Dunia yao! Na tunawaruhusu watuongoze! Why?!
KABISA KABISA KABISA trust us bro!Tukidai uwajibikaji na mabadiliko ya sheria na katiba, kuna mambo kadhaa kutekwa, kupewa kesi, na hata kupotezwa. Ipo siku yatafika mwisho
Mwaka utafika na hakuna kitu kama hicho kitafanyika kwenye nchi hii ikiwa starlink tu wamegoma kutupatia huenda ingetuongezea uchumi