Huu ni ujinga mkubwa sana .Pamoja na kuwepo vijana wa kitanzania wasio na ajira wenye uwezo wa kufundisha elimu ya watu wazima leo unaambiwa mkataba unasainiwa ili WaCUBA waje Tz kufundisha .Kwanza hawa watu hawajui Kiswahili wala kiingereza sijui itakuwaje.Uchizi usio na kipimo kwa nchi yetu. Inasemekana hbuu mkataba ulisainiwa tayari.Wizi mtupu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.