Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
una matatizo ya kiakiliKenya kamzidi Ethiopia sasa naanza kua na mashaka sasa
hlf akisema basic ecnmc country conditions anagusia nn hasa?meanwhile
pole kwa povu lakinihalafu msiamini sana wazungu na takwimu zao za ovyo,kipimo kikubwa cha maendeleo,universal ni watu kula na kushiba
Labda utajiri wa kukatana mapanga kumbuka mh jk kastaafu mwaka huu mtamalizana. Ngoja niwe muangiliaji tuuna matatizo ya kiakilihivi Kati ya Kenya na Ethiopia ni ipi tajiri??
wanagusia hili...wacha nikusaidie kidogo...najua shida ni elimuhlf akisema basic ecnmc country conditions anagusia nn hasa?
pole kwa povu lakini😀😛😛😛utajiri huu hapaLabda utajiri wa kukatana mapanga kumbuka mh jk kastaafu mwaka huu mtamalizana. Ngoja niwe muangiliaji tu
Hizo namba tu sio hela Kenya mambo hayapo kama ulivyoandika hapo maisha magumu sana kwa majority wachache ndio wanaishi kwa furaha. Pole sana ila mwaka huu muwe na upendo msiumizanepole kwa povu lakini😀😛😛😛utajiri huu hapa
Kumbuka 2/3 ya GDP ipo mikononi mwa watu 8,300 pekee, zinabaki $20B ambazo ndiyo zinagawanywa kwa watu 45M, hii inakupa kipato halisi cha mkenya ni $450, je hilo unalijua?, the most ruthless economy in Africapole kwa povu lakini😀😛😛😛utajiri huu hapa
pole kwa hasira lakini..Kumbuka 2/3 ya GDP ipo mikononi mwa watu 8,300 pekee, zinabaki $20B ambazo ndiyo zinagawanywa kwa watu 45M, hii inakupa kipato halisi cha mkenya ni $450, je hilo unalijua?, the most ruthless economy in Africa
hasiraHuku bongo wakenya wapo kwenye viwanda vya wahindi wana roho mbaya hatari na kupika majungu wakiambiwa kazi basi hata kulia wanalia na hawataki rudi kwao halafu humu wanaleta mbwembwe
Huo ndio ukweli unaoukataa, kama kweli mngekuwa mnapata hizo pesa msingelala kwenye mabanda ya Kibera, distribution ya uchumi ni muhimu sana, otherwise ni sawa na south Africa walio wengi wanashangilia lakini ni asilimia 15 tu ya watu ndiyo wanaofaidika, sasa kama kwako muhimu ni figure tu, endelea kulala Kibera sisi huku tunafaidi matunda ya uchumi wetupole kwa hasira lakini...Kenya tunawagawia uchumi na bado tunaongoza...hakuna competition hapa...yaani ndio nchi pekee ynye rangi tofauti ukanda huu...hamna tofauti na Somalia..
By the way, hawa mnawakujia lini...wapo kila kona jijini NairobiHuo ndio ukweli unaoukataa, kama kweli mngekuwa mnapata hizo pesa msingelala kwenye mabanda ya Kibera, distribution ya uchumi ni muhimu sana, otherwise ni sawa na south Africa walio wengi wanashangilia lakini ni asilimia 15 tu ya watu ndiyo wanaofaidika, sasa kama kwako muhimu ni figure tu, endelea kulala Kibera sisi huku tunafaidi matunda ya uchumi wetu
meanwhile from ManzeseKampuni nyingi za ulinzi kuna wakina onyango huku bongo wakenya ndio maana hata kupigana hamuoni shida poleni sana maana kazi kuonesha figure ambayo haina uhalisia kwenye maisha ya moja kwa moja
Hiyo ndiyo Tofauti ya Kenya na Tanzania, wakati Kenya ikifuraia mabepari wachache na wanasiasa kuchukua uchumi na kuwaacha walio wengi masikini, na hao wakenya masikini wanakuwa na furaha kwa kuona maghorofa yakinyenyuka kila siku, ilhali wenyewe wanalala kwenye mabanda ya mabati, Tanzania wanahakikisha kile kidogo kinachopatikana kinagawanywa katika uwiano wa hakiBy the way, hawa mnawakujia lini...wapo kila kona jijini Nairobikisha eti Tanzania ni mbinguni ilhali wenzenu wametoroka hali ya maisha magumu kule Tandale, Manzese n.k
what abt hao omba omba wa tz waliojaa Kenya?? mlikosa kuwagawia angalau kwanini?Hiyo ndiyo Tofauti ya Kenya na Tanzania, wakati Kenya ikifuraia mabepari wachache na wanasiasa kuchukua uchumi na kuwaacha walio wengi masikini, na hao wakenya masikini wanakuwa na furaha kwa kuona maghorofa yakinyenyuka kila siku, ilhali wenyewe wanalala kwenye mabanda ya mabati, Tanzania wanahakikisha kile kidogo kinachopatikana kinagawanywa katika uwiano wa haki
Your disparate my friend. Think about majority . Don't act like madmanmeanwhile from Manzese
majority toka upande upi......Manzese, Mbagala ama Tandale?Your disparate my friend. Think about majority . Don't act like madman