Tanzania kutoa ruzuku katika mbolea, Kenya ruzuku ni katika Unga

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE; Hii maana yake ni kwamba uzalishaji wa chakula na mazao mengine ya biashara Tanzania utaongezeka, wakati Kenya watazidisha kununua mahindi mengi zaidi toka Tanzania [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tony254
Don YF
dyfre

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Daah si news zenu ni boring. Alafu fertilizer subsidy inapeanwa pia kenya
IMG_220842_31722.jpeg
 
Hivi wewe mtanzania umemsahau kilimo Kwanza!kiko wapi hao ni wahuni tu ,nitajie wakulima wa Tanzania Kumi wenye trekta za kulimia!hiyo mbolea itakwenda Kwa bepari mmoja halafu habari itaisha hapo hapo ,magufuli alikuwa anapiga simu kutaka sifa
 
Lazy nations kama Kunyaland wananchi huletewa chakula mezani kwa stamps hawawezi kujishughulisha mashambani na kuzalisha chakula!
 
Zaidi ya nusu ya ardhi ya Kenya ni jangwa lakini uchumi wao upo juu kuliko tz
 
Hivi wewe mtanzania umemsahau kilimo Kwanza!kiko wapi hao ni wahuni tu ,nitajie wakulima wa Tanzania Kumi wenye trekta za kulimia!hiyo mbolea itakwenda Kwa bepari mmoja halafu habari itaisha hapo hapo ,magufuli alikuwa anapiga simu kutaka sifa
Usisahau Tanzania inailisha Kenya
 
Hivi wewe mtanzania umemsahau kilimo Kwanza!kiko wapi hao ni wahuni tu ,nitajie wakulima wa Tanzania Kumi wenye trekta za kulimia!hiyo mbolea itakwenda Kwa bepari mmoja halafu habari itaisha hapo hapo ,magufuli alikuwa anapiga simu kutaka sifa
Pole sana!! Trekta ziko kwenye tarafa moja tu achilia mbali mkoa mzima! Tatizo huko kenya kilimo kimeshikwa na mabepari weusi na weupe tu na waliobaki ni vibarua kwenye mashamba ya mabepari!
 
Back
Top Bottom