joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Zaidi ya nusu ya ardhi ya Kenya ni jangwa lakini uchumi wao upo juu kuliko tzLazy nations kama Kunyaland wananchi huletewa chakula mezani kwa stamps hawawezi kujishughulisha mashambani na kuzalisha chakula!
Usisahau Tanzania inailisha KenyaHivi wewe mtanzania umemsahau kilimo Kwanza!kiko wapi hao ni wahuni tu ,nitajie wakulima wa Tanzania Kumi wenye trekta za kulimia!hiyo mbolea itakwenda Kwa bepari mmoja halafu habari itaisha hapo hapo ,magufuli alikuwa anapiga simu kutaka sifa
Pole sana!! Trekta ziko kwenye tarafa moja tu achilia mbali mkoa mzima! Tatizo huko kenya kilimo kimeshikwa na mabepari weusi na weupe tu na waliobaki ni vibarua kwenye mashamba ya mabepari!Hivi wewe mtanzania umemsahau kilimo Kwanza!kiko wapi hao ni wahuni tu ,nitajie wakulima wa Tanzania Kumi wenye trekta za kulimia!hiyo mbolea itakwenda Kwa bepari mmoja halafu habari itaisha hapo hapo ,magufuli alikuwa anapiga simu kutaka sifa