Huko vijijini watu wanazaana sana bila mpango wowote na bila kupima. Inahitajia extensive pmtct education inayoanzia shule za msingi ili wamama watarajiwa wawe na ufahamu wa nini kinachoendelea. We are targeting wrong people kwa kuwapa elimu wale ambao wameambukizwa mimbi tayari as package za pmtct zinahusisha, kuzuia maambukizi ya hiv, kuzuia mimba zisizopangwa, kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na kuzui/kuwapa huduma nzuri mama na familia ya waathirika. Sie tumejikita zaidi kwenye kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. Vijana wote tungekuwa tunajua afya zetu kabla ya kuanza kuzaliana ingesaidia sana.