The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Sisi Watanganyika ndiyo tumefurahi zaidi timu ya Kizimkazi kupigwa.Kwann tunune,
Kwanini tukasirike,
Kwanini tuwe na huzuni.
Wazanzibar tumefurahi
Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara.
Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa.
TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO WAZANZIBAR TUMEFURAHI
Sisi Watanganyika ndiyo tumefurahi zaidi timu ya Kizimkazi uy
Uyo kizimkazi chukuen nyinyi sisi hatumtaki hukuSisi Watanganyika ndiyo tumefurahi zaidi timu ya Kizimkazi kupigwa.
Soon Mungu ataamua huu ugomvi.Uyo kizimkazi chukuen nyinyi sisi hatumtaki huku
π€£π€£π€£Sisi Watanganyika ndiyo tumefurahi zaidi timu ya Kizimkazi kupigwa.
πππNa sie hivo hivo mbwa nyie..!!
Mm naitikia tu aminaSoon Mungu ataamua huu ugomvi.
πππNa sie hivo hivo mbwa nyie..!!
Timu ya MAMA na imetoka kwa juhudi za mh. Samia hongera sana mheshimiwa eaisi kwa kuondolewa kwenye mashindano. Au siyo jamani.Kumbe Tanzania imetoka kwenye mashindano Hongera kwa kutoka.
Kwani wa mefungwa ngapi HAOSisi Watanganyika ndiyo tumefurahi zaidi timu ya Kizimkazi kupigwa.
Kimoko cha nguruweKwani wa mefungwa ngapi HAO