Tanzania kuuza Umeme nje ya nchi.

~HUKU IKIHITAJI UMEME WA BEI NAFUU TOKA ETHIOPIA...!°_°!
•bashite, kolomije..
 
Nilidhani umeme wa Tanzania ulipaswa kuwa wa bei rahisi kama tulivyoahidiwa baada ya kupatikana gesi mtwara.,ila kama umeme wa maji tena ya mabwawa ya kuchimbwa na ukasafirishwa toka ethiopia mpaka tanzania ni rahisi kuliko wa mabwawa natural tuliyokuwa nayo na gesi pia basi inabidi tujitafakari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…