Tanzania kuwa kama zimbabwe

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,379
Reaction score
6,624
Nadiriki kusema haya kulingana na hali niionayo sasa hivi. Pia sababu sasa hivi kwa sabab sasa hivi ili kupanda juu lazima ufanye ttukio sitashangaa maandishi haya MTU akataka kupandia cheo kwangu.
Mara zote kama kiongoz unapofanya kitu kuwafurahisha mafukara uwe tayar kukosana na matajiri. Tumeona Mara baada ya purukushani za kina makonda za sukar, matajiri wengi wameogopa na wengi wanakimbia. Nakumbuka tulivozuia unywaji pombe usiku na uchezaji pool mchana kwa visingizio vya uharifu. Bila kutafakari impact take ingekuwaje. Nadhan hawakujua kuwa walevi ndo
- watumiaji Wa nyanya,mayai,kuku, baba paroko, kwa wingi.
Matokeo yake sasa hivi mpaka tray limefika 5000 na bado watu Wa kubembeleza.
Pia wakasahau kuwa kuna watu walijiajiri kwenye pooltable na jion wangepitia walau kuku mmoja lkn kwa sabab polisi wapo kwa ajir ya mbowe na Mimi ambaye sina million saba acha walale huku tukisubiri siku mbowe akitangaza maandamano wapite kwa makundi na mavuvuzela. Ila panya road wakitokea mbagala stend wanavua mpaka viatu na kubaki na boxer na wanakajua kutroti kinoma za dar express ya Nairobi.
Wakaweka timetable za kusafiri. Kwanza siku mbili Lisa ajali lkn ndo wapangaji Wa nauli. Kwanini law ya demand and supply isicheze na huku. Chassis tu karibia USD 500000 bado body. Ntarudisha link hela yangu. So ndo maana tunanunua mabas vimeo na kukimbiza sana ili kwa wiki niende Mara saba hela irud baada ya miaka miwili.
Mara tunavuka malengo kwenye ukusanyaji kodi kumbe mnatubana kwenye kodi za magar tuliyokwisha park. Miaka yote mlikuwa wapi. Mnajua sana kupanga Sera lkn mmeshindwa hata kufungua magenge ya kuuza Nazi mkitumbuliwa na mzee Wa majip mnalilia tule wapi Mara sorry eti le profesheris. Mmejifungia kwenye ofis za vyama kumbe mlishajitumbua z kitamboz ila mnazugaz kusahauz
Tukilima mnatulazimisha kuuzia hapa tusife njaa mbona tukiomba mkate mishahara yenu kuchangia kina nshomile mwajikausha ila mwayajua sana mateso yetu ya paliz. Tuachien bana hata hii miaka miwili tuuze bila vibali kwa kina nchumbiji na zimbabwez na wananjaa ya kufa mtuu tutajirike. Njaa ikizid tutaaacha kununua viyutong na kununua lateral au pivotal irrigation systems tulime mwaka mzima. Au mmesahau marekan aliwin sabab ya vita sasa na sisi mungu kaleta njaa kwa nchi zinazotuzunguka ili tuwe vibopa. Senkyuu.
Kweny watungaj. Anzisheni hata magenge ya vitumbua muone kama ukiyapeleka msasani au mikochen kama mtauza halafu ndo muje mtututoe na sis machinga. Mteja anafuatwa baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…