Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji wa gesi ya hellium duniani

Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu haukufanyi ugeuke kuwa injinia, daktari, mhasibu, mwanasayansi au mtaalam zaidi! Power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know wawe humble!
 
Watanzania yatupasa kwanza tupendane ,Serikali isiwachukie wapinzani,bali iwashirikishe kwenye siasa nakuyapokea kwa heshima Mapendekezo yao.

Bila ya kuwa nchi yenye maelewano( National Reconciliation and Brotherly hood), tutaendelea kupigwa ,
Imekuwa Kawaida kila serikali ijayo kuilaumu iliyopita.

Wapinzani Kuilaumu CCM,
CCm kuwalaumu wapinzani kuwa eti ni Vibaraka wa Mabeberu,
Mwisho wa siku wenye maamuzi ndiohuingia mikataba Hewa, halafu Munawasingizia wapinzani kuwa hawana Uzalendo.

Tuliwekeni sawa hili kwanza,wacheni kukimbilia kuchimbua Rasilimali , Mabeberu watazimaliza ,na wakinogewa watatupiganisha ili wakombe kama Kongo na Nigeria.

Afrika tuache Ubinafsi wa kungangania Utawala kisha tunapovurunda tunawlaumu wapinzani ambao hawajawahipo Kutawala Hata mara moja.
CCM OYEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ugunduzi wowote hapa ni sawa na Kichwa cha mwendawazimu hapa,tutegee watatunyoa tu km ile gesi ya mtwara

70% kwao, 30 kwetu huu si uwenda wazimu?
Hata hiyo 30% hatupati kiuhalisia.Usisahau kuwa sisi ni Wadanganyika!
 
Reactions: 1gb
Hahahaha habari njema kila siku Tanzania tumo. Ila sasa hizo habari njema mbona hazina msaada kwawanyonge
 
Gesi utaliwa kama kawa na tutaambulia kiduchuui
 
"Mungu ibariki chadema"- erthrocyte 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…