Kweli Wewe Ni ninjaNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Mh. Andrew Chenge ndiye Vice President. Then Kabudi or Jafo ni waziri mkuu. Chenge ni kwa ajili ya kuwadanganya Wasukuma.Majaliwa anaenda kuwa vice president
kama kigogo aliyoyaandika ni kweli basi nchimbi anakuwa vpMh. Andrew Chenge ndiye Vice President. Then Kabudi or Jafo ni waziri mkuu. Chenge ni kwa ajili ya kuwadanganya Wasukuma.
... ndivyo unabii/maono yalivyo; usitegemee utakuambia the exact date and time rather it tells some time intervals around some events usually not very clear for everybody to comprehend. Ndio maana sio kila mtu anaweza kufasiri unabii au maono! Kwa mfano 2020 inaweza pia kufasiriwa kama term ya urais 2020 - 2025; lakini pia 2020 iko kwenye mwaka wa fedha wa serikali 2020/2021. So kipindi chochote katika interval hizo kinaweza kuwa sahihi kinabii.Huu ni mwaka 2021
Imetimia Mungu u sema kupitia watu.Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Daaaah!Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Narudia tena..Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Mkuu Shikamoo...Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Hatari Nanusu.mkuu uliona nani mwingine kwenye hiyo ndoto tujue mapema 😁
Watu wanafukua makaburi jamani. Maono haya yanaishiNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
HongeraNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
aisee, na uzi wako haukupata mchangiaji by then. kweli hayo maono timilifu.Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
ni kweli lakini wote wakiwa na PM mkristu...Pinda/LowassaKikwete na Shein na baadae Kikwete na Gharib Bilali wote waislam
ndio sifa Kuu ya nabii, acha wale wa kuwashika watu vichwa na kuwasukuma waanguke kwa vitambaa. demi unakosea sema na watu tukapuuza (including you) na sio na watu wakapuuzaNa watu wakapuuza mada yako hadi leo hakukuwa na comment hata moja. Ama kweli nabii hakubaliki kwao
YES inawezekana kabisa kama akipitishwa na vikao vya chama chakeHivi akishamaliza na akaamua kugombea tena na kushinda atatawala kwa mihula miwili Tena au. Hapa Nina maana kwa mfano Mama Samia akimalizia hii miaka minne alafu chama chake kikampendekeza Tena kugombea na akashinda atatawala miaka 10 au??? Hiyo ukijumkisha na hii minne Ina maana atatawala miaka 14 siyo???Kama ndivyo basi Huyu mama ana Zari la kufa mtu.
Hapa ndipo tunapoanguka kama Taifa , Yote haya ni kwa sababu hatuna sheria na kanuni madhubuti nchini ambazo zinawaunganisha watu wa dini zote na wasio dini.Hatuwezi kuwa na rais na makamu wake wote dini moja!!!
Makamu ni ndugu Willium Lukuvi na Pm atabaki Majaliwa KM. Maona ya waziri mkuu mpya hapo kidooogo ndoto ilivamia na upande wapili....Ova
yeye alikua makamu wa rais na si raisSio kumi ni tisa tu hawezi gombea tena kwa mijibu wa katiba rais anatakiwa akae mihula miwili tu na sio zaidi
ni kautamaduniHapa ndipo tunapoanguka kama Taifa , Yote haya ni kwa sababu hatuna sheria na kanuni madhubuti nchini ambazo zinawaunganisha watu wa dini zote na wasio dini.
Ingalikuwa kuna sheria ambazo zinawafunga watawala na sheria ambazo wanapokwenda kinyume wanaweza kuwajibishwa kusingalikuwepo ulazima huo wa kuhoji dini ya mtu.
Hakika imebidi nishangae tu. Au labda ni coincidence tu, kwamba mtu aliota na imetokea?Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?