Mkuu naomba nikurekebishe hapo kwenye kukaimu miaka mitatu baada ya kifo ataruhusiwa kugombea mihula miwili ni chini ya miaka mitatu ndipo ataruhusiwa kugombea mihula miwilihapana kama hii hali ingekuwa imetokea 2022 angeruhusiwa katiba inasema kama atakaimu urais kwa miak mitatu baada ya kifo ataruhusiwa kugombea mihula miwili ila kama ni zaidi ya hapo ataruhusiwa mmoja tu unaona kwamba huyu atatawala miaka 4 kwa hiyo akitaka 2025 ni muhula mmoja tu..HIYO NI KWA MUJIBU WA KATIBA AMBAYO KWA HII MIAKA 6 IMESIGINWA VYA KUTOSHA SO KAMA IKIFATWA INASEM AHIVYO
Ndani ya siku 16Hivyo tusubiri kuapishwa PM mpya?
[emoji23][emoji23][emoji23]usije shangaa soon tumefika awamu ya 20 ndani ya mika 5Yaani 2025 itakuwani awamu ya Saba tunatafuta rais
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]aje inbox au prime minister ni wewe?PM me
Raisi wa awamu ya sita vipi wakati ni rahis wa 6 awamu ya tano
Bado unanichanganya tu ngoja wenye kujua waje wanijuzeAwamu (miaka mitano au chini ya hapo) inaendena na rais aliyepo. Awamu ya 5 ya Magufuli imeisha baada ya kufa. Hii ni awamu ya 6 ya rais wa 6 Samia na muhula wake wa kwanza kutawala.
Magufuli angeshindwa kwenye uchaguzi mwaka jana ingekuwa mwisho wa awamu yake ya 5, ingeanza awamu ya 6 na muhula wa kwanza wa rais ambaye angeshinda.
Nyerere alikuwa rais wa awamu ya kwanza.na.mihula zaidi ya.miwili. Waliofuata walitawala mihula miwili tu kulingana na katiba isipokuwa Magufuli ambaye katawala muhula mmoja na miezi minne na siku 12. Upo hapo?
Raisi wa awamu ya sita vipi wakati ni rahis wa 6 awamu ya tano
Haya awamu ni nini na muhula ni nini?Tofautisha awamu (phase) na muhula (term)
Amejidharaulisha sana PM wetu hasa kwa kutochuja maneno ya kuwaambia wananchi...Mnafiki Sana huyu mzee Hana jipya
Mleta mada bado yuko hai? Au alishaenda peponi?Mimi niliisoma hiii mwaka 2017..
Na msiba ulipotangazwa Tu nikaikumbuka hii post..
Haya awamu ni nini na muhula ni nini?
Unaijua vizuri Katiba ya Tanzania kwenye kipengele cha Waziri Mkuu?Katika hiyo safu yake Makonda atakuwa waziri mkuu
Najua moja sifa ni Waziri mkuu lazima awe mbunge tena wa kuchaguliwa kwa kuraUnaijua vizuri Katiba ya Tanzania kwenye kipengele cha Waziri Mkuu?
Hakuna cha maono ni jambo limetokea tu we nae usitutingisheNiliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
mkuu uliona nani mwingine kwenye hiyo ndoto tujue mapema [emoji16]
duu jiwe alitabiliwa na watu wengi na yametimia Hakika
Acha wivu yaani Uhusiano wa Mtu Na Mungu Bado una hianaHakuna cha maono ni jambo limetokea tu we nae usitutingishe
Ni wivu tuHakuna cha maono ni jambo limetokea tu we nae usitutingishe
Fikiria Nov 25 mwaka 2015 jiwe ndo kwanza alikua na mwezi mmoja toka ashinde..duu jiwe alitabiliwa na watu wengi na yametimia Hakika