Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Salute to you!! Sasa Em jitahidi muonee supi kaa huoni akiapishwa mmama hiviiii??? So kwaubaya lkn sio lazima kifo!!!
 
Huu ni mwaka 2021
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.

Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…