Kina watu mmebarikiwa.Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Na watu wakapuuza mada yako hadi leo hakukuwa na comment hata moja. Ama kweli nabii hakubaliki kwaoNiliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Na huyu ndiye rais mtarajiwa 2025Mavi yake,yeye na Jiwe hawana tofauti.
Sababu ikowazi zenji asingepatikana mkristo kirahisi... Sasa bara wakristo wengi lazma ibalansiweKikwete na Shein na baadae Kikwete na Gharib Bilali wote waislam
Lazima atapigwa chini tu, niwakati wa kuweka viongozi wa kitaifa sio uongozi kwa ajili ya watu fulani.PM apigwe chini Suluhu apange safu yake
Duh ama kweli Kuna watu Mungu amewapa maonoNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Hapana Zanzibar ina wakristo zaidi ya asilimia mbili na wasomi wapo. Usiangalie majina ya kiislam kule zenj mfano mtu anaitwa augustino ramadhani hassan ni mkristo huyo.Sababu ikowazi zenji asingepatikana mkristo kirahisi... Sasa bara wakristo wengi lazma ibalansiwe
Halafu hamna hata mmoja kati yetu aliye comment au kusema chochote,Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Nakazia pia kwenye uhusiano wa pichaYametimia
Mkuu unaweza kupiga pesa kiutani utani hivi hivi....hongera kwa maonoHili sasa ndio picha la kutisha.
Suluhu anamalizia mpk 2025 kwa mujibu wa katibaKatiba ndio itatumika kuamua,nilini uchaguzi ufanyike.
Katiba ndio itatumika kuamua,nilini uchaguzi ufanyike.
Hatuwezi kuwa na rais na makamu wake wote dini moja!!!
Makamu ni ndugu Willium Lukuvi na Pm atabaki Majaliwa KM. Maona ya waziri mkuu mpya hapo kidooogo ndoto ilivamia na upande wapili....Ova
alikuwa anakohoakohoa Mungu amtie nguvu pia ukizingatia kanda ya ziwa ngome ya magu wanamwangalia kwa jicho la husudaM sijui hivi huyu samia atamalizia miaka iliyobaki.?