MitanoTena Tena mkuuNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Kwaiyo tangu mwaka huo mpaka leo watu hawakucomment chochoteNiliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Watu walimpuuza nabii.Kwaiyo tangu mwaka huo mpaka leo watu hawakucomment chochote
So toka ulichoandika raia zilinyamaza kimya mpk ilivyotokea.Niliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Tuwekee kifungu tafadhaliKatiba ipo wazi Makamu atamalizia kipindi chote kilichobaki
Bashiru anapewa ubalozi huko atuachie nafasi waziVP Bashiru PM Majaliwa
Sidhani kama atakupa wewe, hivyo utulie.PM apigwe chini Suluhu apange safu yake
Sio kumi ni tisa tu hawezi gombea tena kwa mijibu wa katiba rais anatakiwa akae mihula miwili tu na sio zaidiHivi akishamaliza na akaamua kugombea tena na kushinda atatawala kwa mihula miwili Tena au. Hapa Nina maana kwa mfano Mama Samia akimalizia hii miaka minne alafu chama chake kikampendekeza Tena kugombea na akashinda atatawala miaka 10 au??? Hiyo ukijumkisha na hii minne Ina maana atatawala miaka 14 siyo???Kama ndivyo basi Huyu mama ana Zari la kufa mtu.
tulia wewe!!!!Sidhani kama atakupa wewe, hivyo utulie.
Sawa, lakini baada ya wewe kutulia kwanzatulia wewe!!!!
Hakika nabii hakubaliki kwaoWatu walimpuuza nabii.
Ilikuwa inakuwa hivyo kwa kuwa makamu walitakiwa kutoka Zanzibar. Na kama unavyojua kule ni vigumu kupata a christian prospect. Lakini kwa mazingira ya sasa,na utamaduni wa CCM,ni vigumu mno kuteuliwa makamu wa raisi muislam. Take this to the bank!Kikwete na Shein na baadae Kikwete na Gharib Bilali wote waislam
Humu jamii forum HADI MAJINI MAKATA YAPO KUWENI MAKINI
Tuwekee kifungu tafadhali
ππππππππππNaikumbuka hii
Samia akiishaapishwa hatapangiwa, anaweza kuteua PM mwingine. Kumbuka atakuwa na mamlaka ya kuteua Makamu wa Rais, na hata PM (akiona hataendana na Majaliwa). na atakuwa na mamlaka ya kuwa na Baraza la Mawaziri ambalo mwenyewe ataona litaendana na kasi yake. Usishangae Bashite anaula chini ya Mama Samia!Huenda na Majaliwa nae yuko safarini ili Samia aapishe Waziri Mkuu