Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Akimrudisha Bashbway tunaanza kumsimanga mpaka aende kujifungia NungwiSamia akiishaapishwa hatapangiwa, anaweza kuteua PM mwingine. Kumbuka atakuwa na mamlaka ya kuteua Makamu wa Rais, na hata PM (akiona hataendana na Majaliwa). na atakuwa na mamlaka ya kuwa na Baraza la Mawaziri ambalo mwenyewe ataona litaendana na kasi yake. Usishangae Bashite anaula chini ya Mama Samia!
Bora iwe hivyo ili asije msumbua Rais kama akimuacha kuwa mkuu wa serikali maana VP sio dili unless yatokee kama yaliyotokeamajaliwa anaenda kuwa vice president
Kamwe hawezi mrudisha mtu mwenye nuksi na aliyekula ban kimataifaAkimrudisha Bashbway tunaanza kumsimanga mpaka aende kujifungia Nungwi
Majaliwa ndo atakuwa Makamu wa raisPM apigwe chini Suluhu apange safu yake
ampe u VP tuu akimuacha hapo atamsumbuaPM apigwe chini Suluhu apange safu yake
Huyu ataoke kabisa hawezi kumshauri Rais wakati nae ni mgeni wa mambo,wapo ma Permanent secretaries wazoefu wengi tuuBashiru anapewa ubalozi huko atuachie nafasi wazi
Anayefahamu
Sasa hivi akishaapishwa Mama yetu Raisi mtarajiwa Samia Suluhu Hassan aanze Dialogue na Upinzani makini (Chadema) ili road map iandaliwe kuhusu mchakato wa Katiba mpya na Tume HURU ya UchaguziKamwe hawezi mrudisha mtu mwenye nuksi na aliyekula ban kimataifa
Huenda anaweza hata akaanza kumtongoza hao wahuni wa CCM hawaaminikiHuyu ataoke kabisa hawezi kumshauri Rais wakati nae ni mgeni wa mambo,
Hili la katiba maccm kamwe hayawezi kukubali na yatakuwa tayari kufanya lolote kiufupi sitegemei mabadiliko makubwa atleast by 2023Sasa hivi akishaapishwa Mama yetu Raisi mtarajiwa Samia Suluhu Hassan aanze Dialogue na Upinzani makini (Chadema) ili road map iandaliwe kuhusu mchakato wa Katiba mpya na Tume HURU ya Uchaguzi
Ngoja tuya activate makundi yetu ya zamani ili waanze kuvuruganaHili la katiba maccm kamwe hayawezi kukubali na yatakuwa tayari kufanya lolote kiufupi sitegemei mabadiliko makubwa atleast by 2023
Siku nyingine piga goti ili MUNGU akupe na maana yake, unabii sio mpaka uwe na walinzi wavaa mawani meusi anaweza tumiwa mtu amtakaye.Sikujua haya maono niliyooneshwa yalimaanisha nini. Leo nimeelewa.
Katiba ndio inasema hivyo mkuu, baraza lote la mawaziri kuvunjwaKwanini?
Hadi mabeyo aridhie, Ana nyenzo zote za kukaa Jambo.Kwani katiba inasemaje?