Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa
lakini sasa ni kama tunafanya for afcon tu yani hatuna kabisa maono zaidi ya hapo.
Tuna viwanja viwili vipya ambavyo tutajenga mmoja ni wa Arusha na kingine cha makao makuu dodoma. Uwanja wa Dodoma huu tulipewega ahadi na mfalme wa uarabuni kuwa atatujengea uwanja mkubwa Africa nzima 100k capacity sema ndo vile tena jamaa akapotea..Lakini unzur wa sisi ni kuwa tunajiweza so serikali ikakaa ikaona bora tujenge wenyewe kuliko kusubilia uwanja wa mwarabu.
Tatizo linakuja tulioplan kujenga ni uwanja wa 32000 capacity. Na Kwa vigezo vya FIFA kuhost world cup vinahitajika viwanja vyenye capacity kuanzia 40000, Hivyo kufanya kiwanja cha dodoma kutumika kwenye afcon tu siku tukipata bid ya kuhost world cup itabidi tujenge kingine tena ..
Naelewa nia yao ilikuwa nzuri kubana matumizi na kupunguza gharama za kuutunza uwanja kama Msigwa alivyosema uwanja wa Benjamin mkapa haujazagi mara kwa mara na kuna baadhi ya seat mpaka zina haribika hazijawahi kutumiwa lakini Dodoma ni makao makuu ya nchi. Shughuli zote za uhuru, kuapishwa na muungano zinaweza kufanyika hapo ukija kuweka na mechi za hapa na pale uwanja huwezi kukosa watu na matumizi tofauti na ule wa Arusha kwahiyo ni bora ungejengwa atleast wa 40k ili hata tukipata bid ya world cup uwanja uwe na vigezo vya kuhost.