BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Tumechelewa. Amechezea hukoooo Denmark akiwa na miaka 21 team ya taifa.Wazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini?
Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake.
Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?
View attachment 1828404
Huyo sio mtabzanua nu mdenmark,sasa tanzania tuseme nini?Wazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini?
Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake.
Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?
View attachment 1828404
Ila anasema alichagua Denmark baada ya kuambiwa huku TZ haitowezekana kutokana na katiba kukataza uraia Wa nchi mbili hivyo akaamua kubaki kwa mamake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani tuanze kumpromoti mchezaji wa Denmark? Hapo kweli tupimwe akili. Yeye kachagua ujombani kama ilivyo kawaida ya Wadigo, sisi tukamvute?Wazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini?
Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake.
Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?
View attachment 1828404
Umenena vema Mkuu!Wakuu, inashangaza kuona baadhi ya watu walivyo na mtazamo finyu.
Kijana alizaliwa Denmark, na baba yake alifariki yeye akiwa 6yrs old, hivyo akalelewa na mama yake mdenish, hivi kweli tungetegemea achague kuchezea tanzania kwa vigezo vipi?
Kumpiga support haimaanishi kwamba tunataka kumbadilisha uraia, tunaonyesha kuwa tunamtambua kama ndugu yetu wa damu.
Labda kwa kumpiga support tunaweza kumshawishi siku moja akaamua kuanzisha hata sports center ambayo inaweza kusaidia watoto wetu na wajukuu wetu. Kama wanamichezo km Venus Williams wana sports center hapa Africa, sioni ajabu kabisa kwa yeye aliye na ndugu wa damu kuwa na kitu kama hicho hapa kwetu.
Au hata akiamua kuja na timu yake tanzania kwenye mapumziko (ili waone asili ya baba yake) bado ni jambo zuri tu kwenye sekta ya utalii.
Watu tuweni na mitazamo mipana tuangalie nje ya box.
Kwani tukimpigia support na promo tunapungukiwa wapi?? Tunapata hasara gani?? Huoni kwamba tukimpigia promo na support faida ni nyingi tu zinazoweza patikana??Yaani tuanze kumpromoti mchezaji wa Denmark? Hapo kweli tupimwe akili. Yeye kachagua ujombani kama ilivyo kawaida ya Wadigo, sisi tukamvute?
ManulaWazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini?
Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake.
Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?
View attachment 1828404